postharvestlosses

sep
23

Lost harvest and wasted food

Event posted by in AgriProFocus Ethiopia
  23 September 2019 to 04 October 2019 - All Day Event
  Wageningen, The Netherlands

Globally, 30-40% of the food produced is lost and never consumed. In this course, we examine ways to minimise post-harvest losses, reduce food waste and explore alternatives. This will ultimately contribute to food security.

For this course fellowships are available.

For more information and online registration please visit our website feb
22

HELPING SMALLHOLDER FARMERS SUCCEED IN MAIZE PRODUCTION

Event posted by in AgriProFocus Tanzania
  22 February 2018, All Day Event
  Online & In Person Seminar


Maize is a staple food in most countries in the Sub Saharan Africa (SSA). However, maize production has been facing many post harvest losses challenges including pests that causes up to 30% post harvest losses and lower prices during the harvest. 

Researchers from Purdue University will be sharing successful strategies for the dual issues of credit and post-harvest loss among southern Tanzania's smallholder farmers through an ONLINE SEMINAR  on 22nd February 2018. 

If you would like to attend the seminar online or in person register HERE 
mar
28

All Africa Post Harvest Congress and Exhibition

Event posted by in AgriProFocus Tanzania
  28 March 2017 to 31 March 2017 - All Day Event
  Nairobi, Kenya

The World Food Preservation CenterĀ® LLC (WFPC) in conjunction with its sister University (University of Nairobi) and a consortium of Universities and Research & Development Institutions in Africa are organizing the First Africa-wide Postharvest Loss Reduction Conference and Exhibition. The conference whose theme is Reducing Food Losses and Waste: Sustainable Solutions for Africa is the first of its kind to be held in Africa. The conference will provide an excellent platform for researchers, academics, farmers, industry, development agencies, civil society and policy makers to learn, share information, build networks and partnerships with the overall objective of identifying effective interventions to reduce FLW on the continent. The specific objectives of the conference are:

  1. To raise awareness on food losses and waste through data and information sharing.
  2. To document the impact of postharvest food loss and waste on food and nutrition in Africa.
  3. To identify and disseminate effective and ap

... Read more


Posted By in AgriProFocus Tanzania
Posted 7 September 2016 at 08:59

Hasara kwa Wakulima wa Nyanya

Bei ya nyanya sokoni imeshuka sana miezi michache iliopita. Wakulima nchi nzima wanalalama kuhusu hili baada ya kuwekeza sana kwenye kilimo hiki. Kwa mtazamo wangu naona sabubu zifuatazo zimechangia hali hii:

1. Kufuata mkumbo - Miaka micache kilimo cha nyanya kilionekana kinatija sana na kuvutia watu wengi bila kufanya uchunguzi au utafiti wakina wa masoko.

2. Uchache au ukosefu wa mbinu bora zakuhifadhi mazao baada ya mavuno.

3. Uchache au ukosefu wa viwanda vya usindikaji na hata elimu ya usindikaji.

Je una sababu zingine zaidi ya hizi? Tafadhali wakilisha sababu hizo. Nini kifanyike basi ili kuzuia hali hii wakati ujao? 

**************************************************************************************

Tomato Growers Make Losses

Over the past few months, tomatoes prices have fallen in the local markets. Farmers all over the country are lamenting over their losses. Huge investments in resources have been made. Tomatoes have been produced in huge numbers

... Read more

Tanzania Graduate Farmers Kwa wanachama wetu wa TGFA japo sio wengi walipata hasara lakini kwa upande mmoja ama mwingine wamepitia wakati mgumu kwenye.... Wanachama wetu watatu amabo ni wanunuzi wamesema kwamba bei inazidi kushuka kwa kuwa ulaji ama mahitaji ya nyanya za hapa kwetu tanzania ni mdogor na unashuka kwani walaji hawaamini katika ubora wa nyanya zetu kwa kuwa 1. wanahisi zina sumu nyingi/ Hawana historia ya uzalishaji 2. Hazikai muda mrefu kwa kuwa zinaharibika kwa haraka (low shelf life) 3. Nyanya nyingi ndani zimeharibika/ Yaani zimeliwa Sababu hizo hapo juu zimachangia walaji hao/Wateja kuhamia kutumia nyanya ambazo zimekuwa processed.... Sasa kinachotakiwa kufanyika ni kwamba wakulima/ wajasiriamali wakubali kwamba lazima kuwa na mipango katika uzalishaji wenye mpango... Lazima wafahamiane wajue soko linahitaji nini, LINI , WAPI, IKIWAJE, ZIKIWA KWENYE NINI na hata amakadirio ya BEI. PIA Lazima sassa wazalishaji wawe na ukaribu na wateja wao/Walaji ili kufahamu ni kiasi gani na wapi. Wakati huo huo sasa ni wakati wa sekta binafsi/ wazalishaji na wasindikaji kuhakikisha kwamba wanajua nini kinatokea na wanafanya kazi kwa karibu sana na vitivo na idara ambazo zinahusika na mipango na biashara ili ziweze kuwasaidia kupata habari zaidi na hata kuhakikishiwa usalama na uhakika wa kile wanafanya mf. Serkakli kuweka sheria mathubuti juu ya uingizwaji wa nyanya ama bidhaa za aina hiyo toka nje ama kuharamisha matumizi ya baadhi ya viuatilifu ama hata serikali kuhamasisha na kuzuia wakulima wengi kuzalisha mazao hayo katika sehemu fulani. Lingine ni kwamba watu waangalie WANAPATA USHAURI TOKA WAPI.... Je ni kwa MUUZAJI ama ni kwa WAFANYABISHARA . Kama ni muuzaji basi kuwa makini kwani anaweza akataka kuuza tu mbegu, mbolea n.k lakini mfanyabiashara yeye atakwambia soko linahitaji nini na wapi.

2 years 4 months ago

Hilda Okoth Asante sana kwa mchango wako @Tanzania Graduate Farmers inaonekana kuwa kutokuwa na habari sahihi ndio tatizo- habari za viuatilifu sahihi, habari za masoko n.k.

2 years 4 months ago

Paschal Paul Tufike mahali tuseme ukweli,ipo hali imejengeka ya mkumbo katika kufanya jambo. Leo utakuta MTU akisikia jambo Fulani linalipa na Yeye anakimbilia kufanya bila kujali kwenda kwake kufanya kuna mambo kadhaa ya nahitaji kuzingatia. Mfano.suala la soko,kitendo cha mkulima kulima bidhaa Fulani lazima kiwe na jibu la uhitaji na wengi wake Changamoto, wewe au Mimi nikisikia nyanya zinalipa nimeandaa wahitaji au nimeongeza wahitaji ktk soko. Tufike mahali roho mtakatifu atufundishe ata tofauti ya kile tulichosoma darasani. Tutafsiri haya mambo kimjadala Specialization Division of labour Hii itasaidia kubadilika kifikira.

2 years 4 months ago